tutajitahidi kufikia lengo
Hahaaaa,,,ni muhimu abiria kuchunga mzigo wake jirani
Duh jirani!
Hongeramo mwaya jitahidini muombeni mungu sana.
Siku hizi unabp jamani best! Nini mbaya?
me napita tu
Naona unatafuta ngumi kwa mtu
yapi tena baba paroko...nakuja huko huko parokiani
Aisee itakuwa bomba sana ukija ili nikague kama umepata nguvu ....!!!!!
nangoja...........ila ngojangoja huumiza matumbo!!!
Naona bado upo mawindoni,