Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye kisu kikali ndie atakaekula nyama ......
![]()
Unanitisha bana na mabisu yako........
nami Excel niko kwenye mlolongo wa kusaka mdada mwenye true love hapa tujifungashie ndoa tuondoke kabisaaa!!
(sharti!! usiwe kwenye ndoa kama nilivyofanyiwa last time, i love once tafadhali! hakikisha uko single 100%!!!)
sipendi kelele mie mwana wa watu!
Jaman me mwenzenu White girl! ataniua kwakweli.Mfikishieni ujumbe NAMPENDA NAMPENDAJEEEEEEE!,nitajitahidi japo tukaishi Zambia kwani bongo majungu.NAKUPENDA White girl plz.
Naomba mabadiliko haya yafanyike pale mwanzo wa thread tafadhali....amm not going, I went already sasa mbona kunrudisha kwenye tongozo upya!!!
Safi sana mkuu kama ni white girl weka vema...
Kaka Kiwatengu nifikishie hizi taarifa kwake,"White girl mwenzako hapa sijiwezi kwakweli" I real ADMIRE u beauty.U ar the only one in my moment time of my life in ths world.LOVE U
Endelea kuvuta subira white girl bado anatafutwa...
Noted mkuu..i will do as you wish...
Ngyiyesa kapsa iha..nualyika indi mekuu!! mana chu mcha..
Ukitaka kumwona usibanduke hapo...