Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,763
- 766
Duh...na wewe bado hujapata tuu Mr. Mangi ????Hivi muda wote nipo humu Jf hamna hata kadada kalikonizimikia sweet Mangi hapa nahonga kama mtoto wa fisadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh...na wewe bado hujapata tuu Mr. Mangi ????Hivi muda wote nipo humu Jf hamna hata kadada kalikonizimikia sweet Mangi hapa nahonga kama mtoto wa fisadi
kwa hiyo ushapata ruhusaKwahiyo kumbe kushindwa ni given!!
Na wewe umoooo....karibu kwenye kamati mkuuJaman nami natafuta mtoto mzuri
Njoon bas na kwangu
Karibu MTOTELA ...kuna kamati huku imeanzishwa. Tuwapindue wote wenye kapo zaidi ya moja....si sawa kabisa banaaKumbe huku kunakutongozana dah nilikuwa sijui ngoja na mm nitafute mrembo
Pole sana kwa kikohozi mamitoo....ile kapo yako bado iko hai???Koh koh....
Bado una mashaka tuu mkuu... we tulia kama unanyolewautaanza na nani ?
Ndio, nimeruhusiwa, so kazi ni kwetu tu.kwa hiyo ushapata ruhusa
usiwe unawaitikia watu wa hovyo hovyoAbee!
Nakuona tuu unavyokula ubuyuuusiwe unawaitikia watu wa hovyo hovyo
Bado ipo inazidi kuimarika kila sikuPole sana kwa kikohozi mamitoo....ile kapo yako bado iko hai???
Wabadhilifu hao ,wanajilimbikizia rasilimali watuInabidi tukae kama kamati mkuu tujadili kwa kina....kuna wengine humu wana 'kapo' zaidi ya moja.