Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Naona umekua kuwadi gaflaWala uc'hoff cocochanel utakuwa na Valentina nadhani hapo kichwa kitasumbuka vizuri...
Yani kwa michepuko tu kiukweli amebarikiwa kijana wa watuhuyu jamaa michepuko ni mingi.
ungenicall mimi tu
We vipi?Wana jf hivi na Mimi naweza kupata malkia humu ndani Maana kiukweli ninahtaji mtu wa kuanza naye maisha level ya elmu nna dip+naendelea na degree+ujasiliamali npo dsm atakaye kuwa tayari an pm tuongee
Unataka kuongeza japo ya 5 mkuu?!Naona umekua kuwadi gafla
Kuongeza nini?Unataka kuongeza japo ya 5 mkuu?!
Kuongeza 'kapo'Kuongeza nini?
ShindwaKuongeza 'kapo'
We jiandae kupokea wake wenza tuu....Shindwa
Rudi nyuma shetaniWe jiandae kupokea wake wenza tuu....
Shetani naye mgumu kweli...hataki kurudi hata hatua moja nyuma....ha haaRudi nyuma shetani
Na alieamua kuanzisha format mpya ya JF aisee. But nimerudi na nitakazanaaaa niizowee.Ulipotezwa na nani mrembo?
Wish ni mjue huyo...Na alieamua kuanzisha format mpya ya JF aisee. But nimerudi na nitakazanaaaa niizowee.
Hujambo lakini?