Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

KOKUTONA my lovely wife-to-be...
Nimekumisi pia, jana nimepita kwenu ila babaako kanipiga biti nisikuone...nikaimba kale kawimbo ili unisikie ila wapiii...

Jamamiiiii, ukija uwe unarusha kajiwe kwenye bati nitakusikia, dady lazima awe mkali hajala mahari bado, na si unajua wazee wa zamani wanavyopenda mahari?
 
mkuu naweza mention mke wa mtu bana!

sasa naweza taja warembo kama Heaven on Earth, miss chagga, Passion Lady (goodmorning my X!!), ama ladyfurahia, ukakuta wooote wamegandwa!!!

halafu nashangaa hivi humu hamna ndoa zinazovunjikaga??!!! sijaona kabisaa mtu akibebeshwa vyombo!!
Excel mambo....humu mbona ndoa zinavunjika sana tu.......

msimu wake karibia unakuja............halafu mie mbona umechelewa ulikuwa wapi siku zote hadi nikawahiwa
 
Last edited by a moderator:
Mtu single kama mimi nafurahi sana
napoona relationship zinazaliwa na kuyeyuka
 
jaman natangaza nahitaj rafiki wa kike aka mchumba ila naogopa kutongoza nipo single
 
Back
Top Bottom