Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Unahitaji mpenzi hapa JF au tayari uponae mwonyeshe ni jinsi gani unampenda hapa au kama upo single msubiri hapa au mtag umwambie ya moyoni pia unaruhusiwa kumtongoza hapa hapa kwenye uzi
Mkuu unataka tuongeze wapiga mizingaa?
 
Wow that's my bae. I'll buy you hyundai nikiuza ng'ombe

Mtoa mada asante kwa uzi .
I can't wait boo lakini naskia mnakuaga wagumu sana kuuza ng'ombe bora aumwe mpaka afe [emoji23] [emoji23] au utafanya kwa ajili yangu eti?
 
I can't wait boo lakini naskia mnakuaga wagumu sana kuuza ng'ombe bora aumwe mpaka afe [emoji23] [emoji23] au utafanya kwa ajili yangu eti?
lol, subir hyundai mtoto mzuri, maasai kisha legea huyo.
 
I can't wait boo lakini naskia mnakuaga wagumu sana kuuza ng'ombe bora aumwe mpaka afe [emoji23] [emoji23] au utafanya kwa ajili yangu eti?
Haha..
Hao ni malayoni ndiyo wako wanabehave ivo. Kwako tena mimi mhudumu chukua menu Agiza ukitakacho nitaleta mezani
 
Hapa Jukwaani sina Mpenzi ila nahitaji sana

Kama kuna mdada/ mwanamama mwenye uhitaji kama wa kwangu aje tuyajenge
Kwahiyo huu uzi umekupa lift....[emoji12] [emoji12] maana ulikua unashindwa uanzie wapi....[emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…