Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Unahitaji mpenzi hapa JF au tayari uponae mwonyeshe ni jinsi gani unampenda hapa au kama upo single msubiri hapa au mtag umwambie ya moyoni pia unaruhusiwa kumtongoza hapa hapa kwenye uzi
Mkuu unataka tuongeze wapiga mizingaa?
 
I can't wait boo lakini naskia mnakuaga wagumu sana kuuza ng'ombe bora aumwe mpaka afe [emoji23] [emoji23] au utafanya kwa ajili yangu eti?
lol, subir hyundai mtoto mzuri, maasai kisha legea huyo.
 
I can't wait boo lakini naskia mnakuaga wagumu sana kuuza ng'ombe bora aumwe mpaka afe [emoji23] [emoji23] au utafanya kwa ajili yangu eti?
Haha..
Hao ni malayoni ndiyo wako wanabehave ivo. Kwako tena mimi mhudumu chukua menu Agiza ukitakacho nitaleta mezani
 
Back
Top Bottom