Mnatamanisha sanaaDah hapa tuu ndo unanimaliza ..
Upendo wangu kwako ulianzia hapa..Kuna Uzi mmoja hivi wa kush dah dah .. Ulivyokuwa unasema mvutaji hapo hapo nilidata..♥️♥️♥️♥️♥️
Nshawahi kuwa na Smoker mmoja hv live ilikuwa amazing
Ngoja nipitie kwa pusha Nije mama ake..
Matunda si yapo? Ama nije nayo?
Kibiashara mkuuHata kutusuana ni sehemu muhimu ya ujenzi wa nchi kiongozi.
Soma vizuri usikurupuke, hakuna ulichoelewa. Kazi gani wewe unafanya hapa jf kwenye huu uzi?Muda wa kazi huu watu tunajenga nchi nyinyi mnawaza kutusuana!!!
Nawakumbusha tu
ni lunch time napata "kukumoshi" kwa utulivu kabisa nikivinjari JF, sijakurupuka nimeona mnachati kitambo. Fanyen kazi tafadhaliSoma vizuri usikurupuke, hakuna ulichoelewa. Kazi gani wewe unafanya hapa jf kwenye huu uzi?
Ooh sawaNa yeye anatafuta wakulijenga nae Taifa.
hujaelewa?
Kazi fanya wewe ndugu, wengine tumezoea kulala na kula tunakulani lunch time napata "kukumoshi" kwa utulivu kabisa nikivinjari JF, sijakurupuka nimeona mnachati kitambo. Fanyen kazi tafadhali
sawa ila kumbuka "maisha ni kazi na kazi ni kukazana"Kazi fanya wewe ndugu, wengine tumezoea kulala na kula tunakula
Lazima iwe jealous mkuu, mimi napigwa tu nauli zangu tu kwann?Itakuwa jealous sasa.
tengeneza ID nyingine ya jinsia tofauti, then anza kutiririka hapaKwahiyo sisi tulio single humu inakuwaje?
Hicho nacho ni kichaatengeneza ID nyingine ya jinsia tofauti, then anza kutiririka hapa
Yaani imagine[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Hadi leo?
juu hakuna update yako?
Haya kazana ndugusawa ila kumbuka "maisha ni kazi na kazi ni kukazana"