kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
- Thread starter
- #9,781
Mnatamanisha sanaaDah hapa tuu ndo unanimaliza ..
Upendo wangu kwako ulianzia hapa..Kuna Uzi mmoja hivi wa kush dah dah .. Ulivyokuwa unasema mvutaji hapo hapo nilidata..♥️♥️♥️♥️♥️
Nshawahi kuwa na Smoker mmoja hv live ilikuwa amazing
Ngoja nipitie kwa pusha Nije mama ake..
Matunda si yapo? Ama nije nayo?