Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Enzi zenu mlikuwa mnacheza kibaba na kimama nowadays waungwana wanafanya kweli ohhh 🤣🤣🤣
Now days wanafanya kweli, na madhara yake ni makubwa.
Sijui kwanini watu wanataka kuonana.

Mambo yetu yalikuwa yanaishia hapa hapa.

Hata tukikutana zile get together parties za Mchambuzi hakukua na ulazima wa kusema ID yako ya JF.

Things were bam bam...
 
Mkuu Watu8 hivi measkron alikwenda wapi?
Tujulishe kama ushakuwa mgane bana.

I remember we lost one of our chitchat friend.
Nikikumbuka username yake nitasema.
May her soul rest in Peace!!

She's well and good...

measkron lots of these ❤️ to you

Screenshot_20240807_175655_Chrome.jpg
 
Dah kuna mtu kila nikiona charting zake,I feel deezy
Mwandiko wake ni kama a beautiful breezing wind.
I wish ningekuwa na ujasiri nimwambie but I'm shyfull naturally
Its risk telling what's in your mind while not knowing possible response
 
Now days wanafanya kweli, na madhara yake ni makubwa.
Sijui kwanini watu wanataka kuonana.

Mambo yetu yalikuwa yanaishia hapa hapa.

Hata tukikutana zile get together parties za Mchambuzi hakukua na ulazima wa kusema ID yako ya JF.

Things were bam bam...
Vijana wa GEN Z hawataki utoto 😹😹😹
Wanataka kusanisha kweli ohh
 
Dah kuna mtu kila nikiona charting zake,I feel deezy
Mwandiko wake ni kama a beautiful breezing wind.
I wish ningekuwa na ujasiri nimwambie but I'm shyfull naturally
Its risk telling what's in your mind while not knowing possible response
Fungukuka tukusaidie.
Usiogope
 
Dah kuna mtu kila nikiona charting zake,I feel deezy
Mwandiko wake ni kama a beautiful breezing wind.
I wish ningekuwa na ujasiri nimwambie but I'm shyfull naturally
Its risk telling what's in your mind while not knowing possible response
Kumekucha kuna mgalatia kashakamatwa 😹😹😹
 
Back
Top Bottom