Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

I miss you my love Chocs
Nakupenda saaaaanaa....yan kupita maelezo!
Hope weekend nitakuja kukusalimu mke wangu kipenzi!
I real Miss you bby!
Kila nionapo picha yako kwenye simu yangu natamani kupaa ila majukumu kipenzi....!
Najua unanimiss sana ila naahidi kurudi nyumbani tuishi kwa raha zetu!
Mwaaaaaah

This is the feeling inside that i can not put it into words... i love u my Erickb52
Sichoki kukusubiri....mwaaah bby
 
Last edited by a moderator:
Wana Chit Chat!!!
Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile;

1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani,
mistari inashushwa sehemu yoyote ile so kunakuwa na mwingiliano wa mada.
Kama kuna uliyempenda kutoka jukwaa lolote lile mlete hapa umwambie.

Kwa hiyo kupitia huu uzi hapa ambao ni maalumu wa kuelezana yale ya moyoni, utaeleza hisia zako na kumtaja mhusika wako na ikionekana unahitaji msaada utasaidiwa kuna wataalamu hapa
Tuko jiandae kusaidia watu hapa.

2. Kutengeneza couples zaidi ndani ya jukwaa. 2014, zitawaondolea wengi stress!!

3. Kumaliza malalamiko kwa wageni na wale wote walioko single,
mara nyingi kumekuwako na malalamiko kutoka kwa jinsia zote juu ya kuwa single
Na hii hujitokeza sana pale ambapo unakuta kuna wapendanao kama Lady doctor na Arushaone wakishow malove yao, utasikia oh heri yenu mnaopendana au kutoa kauli nyingine kama hizo, ambazo ni za malalamiko.
Hakuna haja ya kulalamika tena kwani na wewe unaweza kuwa na Mpenzi na ukaonyesha malove ya nguvu.

Hii itakuwa habari njema kwa madomo zege pia, kwani kama huwezi utasaidiwa..

Kama kuna mtu umemwona kutoka jukwaa lolote lile hata la Sports, Siasa, Ujasiriamali, Kazi na Tenda n.k
Ukampenda na ukaona anakufaa wewe, mlete hapa couple itengenezwe!!!
Hakuna haja ya kushinda tena PM na ukaishia kula za uso...
Hapa vocal zinashushwa live live....
Baba V, Arushaone tuundieni kamati ya kufanikisha hili zoezi.
mwaka 2014 ni mwaka wa malove love.


Nawasilisha.

NB; hata walioko kwenye ndoa na hawazidumishi au hawaridhiki nazo!! u can create another one.


Couples ambazo zipo na zina exist
Ni hizi hapa na ni vyema zikaheshimiwa....
kiwatengu & shansarie
Tuko & jawilat (hii bado ni mpya sana) na ndoa itatangazwa muda wowote...

uran & 'Valentina'

Arushaone & Lady doctor

Judgement & YNNAH

watu8 & measkron
Filipo & marejesho
Erickb52 & Chocs (hawa huu mwaka wako kimya sana)...
sosoliso & Paloma...
Jerrymsigwa & amu (not verified yet).
Kaizer & DEMBA
Eli79 & KOKUTONA
Ruttashobolwa & Passion Lady..
Bishanga & The secretary (hii ni dormant kwa sasa)
The Boss & Kaunga (hidden)
Nyani Ngabu & Karucee (uknown but ipo.)
King'asti & Paw
Mr Rocky & Dena Amsi
nitonye & Arabela
mkiva & Preety
Tyta & Eshy m.s (verified)

Mentor & mwallu (real in and out)....

.......list bado inaendelea

Nyingine bado sijazisoma vizuri..
Ila na nyie mnaofuata hapa mseme status zenu isijetokea unapigwa vocal mara mbiili...
kabanga Vin Diesel Heaven on Earth Ablessed Munkari Mentor PakaJimmy mwallu Mtoto halali na hela Smile Mokoyo Mapi farkhina sungura1980 Excel sidhani kama mko single labda mseme wenyewe..

Cc; Baba V Mamndenyi Madam B Tyta

Mkuu mbona umesahau kuwa-CC kina Evelyn Salt (huyu mimi namzengea zengea - sijui tutaelewana?) na Preta
 
Mkuu mbona umesahau kuwa-CC kina Evelyn Salt (huyu mimi namzengea zengea - sijui tutaelewana?) na Preta

Mistari yako tu mkuu..hakuna lisiloshindika hapa..
Huyo Evelyn Salt alikuwa na ndoa aliolewa na Slave sina uhakika kama wameshaachana au la...
wewe jaribu kurusha vocal kwa huyu mrembo Preta
Unaweza kujibebea..
Good lucky mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom