Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Hahahahaaa naona unashusha tu mistari. Sasa ukiniona si utalia wewe kama nikisema sitaki hahahaaa. Mi sipendi kumuumiza mtu atii, useme wewe ulivyo
 
Hahahahaaa naona unashusha tu mistari. Sasa ukiniona si utalia wewe kama nikisema sitaki hahahaaa. Mi sipendi kumuumiza mtu atii, useme wewe ulivyo
Nahisi kuchanganyikiwa juu yako mama,kuhusu mimi nina urefu wa futi 5.6 kwa rangi ni mweusi wa kawaida,ni mcheshi napenda kuonea na watu kufurahi pamoja,kujituma ndo kauli mbiu yangu katika kila nifanyalo any ting you want to here from me? sema mama usiogope jamani nataka uwe wangu na niwe wako na uma utambue hilo pls usiniangushe
 
safi safi, uko vizuri hapa akija kupasoma patamlegeza kabisa
 
safi safi, uko vizuri hapa akija kupasoma patamlegeza kabisa
Huyu mrembo simuachi ameshanichanganya hapa nakesha hapa hapa namsubiri acha baridi linipige tu maana mchumia juani hulia kivulini ila mpaka awe ametengeneza hicho kivuli
 
Huyu mrembo simuachi ameshanichanganya hapa nakesha hapa hapa namsubiri acha baridi linipige tu maana mchumia juani hulia kivulini ila mpaka awe ametengeneza hicho kivuli

Huyo ni wako tayari, aje tu a admit hapa watu tucelebrate!
Daudi we mkaali,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…