Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Vigezo nimekidhi mama pls moyo wangu unapata shida juu yako naomba uwe tulizo la moyo wangu mtoto masikio hayachoki kusikia sauti yako hakika mungu alifanya upendeleo juu ya uumbaji wako,nahisi mwenye bahati ya kukutana na wewe binti mrembo pls come on nataka uwe wangu tena wa maisha....
Hahahahaaa naona unashusha tu mistari. Sasa ukiniona si utalia wewe kama nikisema sitaki hahahaaa. Mi sipendi kumuumiza mtu atii, useme wewe ulivyo