Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

mbona sijapata ujumbe wowote my dia!Mi nakuona upo off tu saa zote!Kwani hujabadili kitu?

naku-PM sasa hivi,maana namba yangu sasa hivi nyingine, labda ukanyamaza kwa kutokunifahamu
 
Aya anayenipenda jamani,am single to be mingled lol...!!

we mbona mwenyeji sana huku mkuu..huo usingle ni wakujitakia tu!!
mnaruhusu wadada kama kina mwallu kuingia utawani bana!!
namna gani?
 
Last edited by a moderator:
naku-PM sasa hivi,maana namba yangu sasa hivi nyingine, labda ukanyamaza kwa kutokunifahamu
No dia sijapata ujumbe kutoka kwenye namba yoyote ngeni kusema haki!Maajabu ya rahmani haya!!:A S-confused1:
 
Back
Top Bottom