niambie mdada..ngoja giza liingie uniite vizuri..
La mujer del mi vida
we unaona kama vile ni tamthilia.
ipe jina.
Ifike mahala niwe kwenye behind the scene.
Ok usijari utaikuta, ila naomba usivae skin tight au jean tight basi vaa ki min huwa unapendeza sana.
Hii imeshafika mbali ngoja tukianza picha lingine ntakuita ushuhudie.
Hapa unatakiwa kutafuta umpendae usije ukabaki nyuma mwaka mpya huu wa malovidavi
Kumbe nmeingia choo cha kike...
Wakaribie sana
Hahaaa,haya naku wait
Ni kwamba napenda uwe maid kwenye send of yng