kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Huu mwezi mtukufu mabwana hawaruhusiwi ntajipikia mwenyewe
hata mimi nimefunga pia....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mwezi mtukufu mabwana hawaruhusiwi ntajipikia mwenyewe
hapa Mtoto halali na hela ataleta noma...
stable woman umemsikia huku mzee wa kaya kiwatengu....? njoo tutete...stable woman anateta na wewe...
umenishtua!! nini kupiga kelele hivyo?
ah bebi leo nakusumbua kweli....?Si huyu m-baba ananing'ang'aniza me simpendi tena simtaki nina mme wangu mie.
wewe janeth uliambia uko singo sasa leo tena unaniruka...?Mwanyasi ni Mme wangu I love him so much, mbona watu wengi tu humu wanahitaji waume si uwafate hao??
Mama kuna libaba linanisumbua hapa nataka kumwitia mwizi....
Yaaaani ananichefuaa natamani sijui nimfanyaje mom, huyu fataki sijui ujana kala na nani...
We libaba koma.
usinipe uzee mimi kijana mbichi kabisa...tuyamalize tu...