janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
wewe hii ni baraka na bahati kutongozwa na mimi....
huna mbinu za kunipa wewe Menthry namaliza mwenye hii mechi... au janeth1?
ubishi ndio akili, usipokuwa mbishi huwezi kusonga kwa chochote....unabisha bebi...!?
kwani umeninyima au ndio kusema nini....? sikubali kiwatengu msikie huyu anavyoipiga teke bahati....
hajui hapa ndio penyewe....
usijaribu kunipimia, najiweza kwa kila upande....jaribisha ikiwa hujanasa....!
Bahati nishapata we babu wee hunielewi.....heeeee
Last edited by a moderator: