janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
Shikamoo babu mdogo.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mh...bebi....!?Shikamoo babu mdogo.
Maishaa ya upweke magumu Sana humu ndani, tafadhalini wakongwe mtusogeze jirani ya mabinti walio na hali kama yangu, eti khantwe unaneno la kusema?
Abee umeniita?
We si una mume na binti humu, au unataka kuchepuka.?
Aliyekwambia wifi yangu anataka kuchepuka ni nani?Akiitwa asiitike kisa ana mme na watoto?
Abee umeniita?
mh...bebi....!?
Aliyekwambia wifi yangu anataka kuchepuka ni nani?Akiitwa asiitike kisa ana mme na watoto?
Shkamoo kwa mara nyingine babu kwanini huitiki?
marahaba bebi wangu....
Bi dada, nimeuliza tu, katika vizuri sana... Ila nimeuliza tu kwani vibaya? By the way michepuko siku hizi ni kawaida kama kunywa maji tu.
We si una mume na binti humu, au unataka kuchepuka.?
Aliyekwambia wifi yangu anataka kuchepuka ni nani?Akiitwa asiitike kisa ana mme na watoto?
Shkamoo mom!
Bi dada, nimeuliza tu, katika vizuri sana... Ila nimeuliza tu kwani vibaya? By the way michepuko siku hizi ni kawaida kama kunywa maji tu.
Marhabaaa daughter....mkwe wangu hajambo?
Yes my dearest khantwe, unavyoitika Tu huwa unanifanya nijione mtawala katika falme za falme, you complete me!!