Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Coming honey......af nimekumisije..
Kumzeesha tu mama'ngu.
Dady hajazeeka kiasi hicho ashanikabidhi kwa watu muda mrefu sana na wewe anakupendea wapi?
My husband barafu wangu wa moyo I love him very much..
hadi wazee mnaitana swty na honey.... so attracted to you...
Aliyekwambia wazee huwa hawapendani nani....
hahahaaa shikamoo mamamkwe
Marhaba mkwe umenisusa kweli siku hizi
natafuta hela kizaa chema changu nisije kosa sukari wakati wa kuja kukusalimia...
usijidanganye hicho kilikuwa kiini macho, umekabidhiwa kwa mtu gani....?mzima?
Aliyekwambia wazee huwa hawapendani nani....
hahahaaa shikamoo mamamkwe
ah... binti yaonyesha utaki raha wewe....?
ndio ulichofanyiwa wewe...njooo uponde raha!
Yaani kama ni raha nazipata kwa Mme wangu hadi najihisi niko mbinguni.
Are you seriouz? Raha zp hzo?
Tunazijua mimi na Mme wangu.
Mwanamke mbayaaaaaaa ww