Hajaoa....bado anajipendekeza achumbie kitindamimba wangu romantic eyes
mummy nimekumiss
naona kuna mtu amedhamiria kweli kuwa mkweo, hajui kuwa bado nasoma eti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajaoa....bado anajipendekeza achumbie kitindamimba wangu romantic eyes
unaandaa gazeti la next week?
Afu wewe sipendi fujo pita mbali na mimi huo utani umeanza lini na Mimi???
unaandaa gazeti la next week?
hahahaha hamna nw npo na aman full aiseee
mmmmhhh neno bhaya bhana...
Nikutafutie mke??
nani tena anakuudhi my sis jamani
mummy nimekumiss
naona kuna mtu amedhamiria kweli kuwa mkweo, hajui kuwa bado nasoma eti
hahahaaaaaa unaogopa gazeti au?
Mhh!! Khantwe my mchepuko, unajua kiinglish!! Yaani ulivyotamka hiyo just like that, yaani mpaka uvungu wa mtima wangu umetikisika
Kuna jamaa alikuja ofisini akajipa uenyeji ofisini kwangu nilitaka kummwagia chai ya moto ila nimemsamehe
hata sijui maana ataona nikiwa huko ntadeka sana na shule nitasahauNakumiss mdogo wangu jamani natamani uje ukae kwangu sijui bimkubwa atanikubalia.....
afadhali umemsamehe angekupa kesi bure
Miss u too my daughter..... Anasema yuko tayari kusubiri
hata sijui maana ataona nikiwa huko ntadeka sana na shule nitasahau
Dah yaani hapa nawaza hata namna ya kumuaza bimkubwa huwa hapendi ucheze mbali nje na shule.
Dah yaani hapa nawaza hata namna ya kumuaza bimkubwa huwa hapendi ucheze mbali nje na shule.
duuh hata mi sijui hapo lakini labda atakubali, mwambie tu
Kipindi cha likizo atakaa na mimi mama yake haendi kokote