Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Penda penda Mondray! Tatizo lako uvumilivu zero...
Kwa wiki unatongoza wadada saba... Tena hadharani!!! Me maplay boy wa hivyo siwataki!
Sasa wanisingizia, ngoja tu hii id niibadirishe tu maana sio kwa skendo hz..
 
Mwanadada mwenye mapenzi ya kweli na aliye umizwa na mpenzi wake na kuachana nae haja pata mtu anitafute ila asiwe bonge wala mwembamba sana nimekaa nje ya mapenzi mda wa miaka miwili bila mpenzi sasa narudi ila awe mzuri hata nikitoka nae nisije kuona aibu karibu
Miss Natafuta ushindwe sasa
 
Moyo sukuma damu si vinginevyo, ngoja nkaoge maji ya baharini maana sijaona hata alosema ananipenda
 
Back
Top Bottom