Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Basi Mimi nilichelewa kuujua huu Uzi.Ila Nashukuru kuuona tu.Hapo hapo nikakutana na mtu ambaye hakika inaonekana tutaenda sawa.Hebu Espy Naomba tufungue ukurasa m1 Mimi na wewe ukinipa ridhaa ya kunipokea .Nami kwa dhati kabisa ya moyo wangu naahidi kua nawe kwa Hali.Ni hayo tu kwa Sasa
Nipewe nini mie jamani[emoji126][emoji126][emoji126]
Sijui nikukubalie tu sijui niringe ringe kwanza. Au utaghairi?
 
Back
Top Bottom