Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Mkuu nilikuwa sijapata muongozo, ila nina bahati mbaya sana... Nimezama PM kwa Karucee nikatega ndoano zangu za kutosha kisha nikajazia na nyimbo kali za malavidavi kutoka kwa msanii Don Nalimison lakini cha ajabu bibie anakuwa mgumu...

Sijui nimekosea wapi?? Msaada tafadhali kiwatengu
😂😂😂 nyimbo ulizochagua zimekuangusha. Anyway, ngoja tuone inakuwaje.
 
😂😂😂 nyimbo ulizochagua zimekuangusha. Anyway, ngoja tuone inakuwaje.
Kumbe shida ndiyo hiyooo... Ngoja nitoe hiyo ya mkuu wetu Don kisha niweke nyimbo mbili za moto, lazima aje tu hapa...

1. UB40 - Karucee baby
Karucee, oh, karucee , oh, baby
Don't you see I'm in love with you?
If you don't believe I do
Then why don't you try me?
I will never let you down....

2. Senzo - I'll be there
When you need a shoulder to cry on (nitahakikisha hakuna atakaye kuliza Karucee ... I promise 😉)
You should know that you can lean on me
Every step of the way
i'll be there..
you can count on me
I'm the one who cares...

Your joy, is my business
Your pain, is my business
Just call me from wherever
I'll be there.....

Karucee ukichomoa na hapa itamidi unichongee kwa moderator nipigwe ban ya maisha.
 
Nitake nini Tena Karuceee mieeeee.

🥰🥰🥰🥰

kiwatengu njoo
 
Anachomoajeee
 
Back
Top Bottom