Nitaandaa mechi ya mashemeji dabi🤣😹😹😹 eti kaka unakubaliana na haya kweli? Mimi na Mbaga toka lini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaandaa mechi ya mashemeji dabi🤣😹😹😹 eti kaka unakubaliana na haya kweli? Mimi na Mbaga toka lini??
NitamuambiaBraza, nitakuloga ufie kule mlimani 🤣🤣🤣🤣
😂🤣😁😁😁 Dah !Amebadili Id SASA hivi anaitwa ephen_
Hadi Mimi 🤣😂😁Sijapenda kabisa!😂 Ila fresh✊
Kwamba nawe umepindua mezaNa wewe tena? kwan ni huyu wangu tu mumemwona?
Naweza kuleta.. changamoto ID ya kike jinsia ya kiume 😂🏃Leta mtu upige mistari
Kweli mkuu , nyinyi mtanieni tuu huyu ila ni wakwangu😂🤣😁😁😁 Dah !
Upo sahihi Kuna mmoja watu wawe makini nae Cc ephen_Naweza kuleta.. changamoto ID ya kike jinsia ya kiume 😂🏃
Hongera kakaKweli mkuu , nyinyi mtanieni tuu huyu ila ni wakwangu
Mkwe hiyo ni bhangi ya wapi?🤔Kweli mkuu , nyinyi mtanieni tuu huyu ila ni wakwangu
Bhangi ipi?? Mkwe nitake radhiMkwe hiyo ni bhangi ya wapi?🤔
😁😁😁Naweza kuleta.. changamoto ID ya kike jinsia ya kiume 😂🏃