Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Mkorofi wewe muone kwanza ๐๐cheupe dawa njoo nkushushie mistari
Okay, haya lete verse nakusikiliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkorofi wewe muone kwanza ๐๐cheupe dawa njoo nkushushie mistari
Wewe kabisa unaamini mm naweza kumtongoza Depal?Depal nayeeeee... sasa kutongozwa mpka akaseme? Mbona mm nimemtongoza Ms R na hanitangazi tumemalizana kisela tu
Jana nilimuota nambaka, hapa namtafutia mingo akikubali nafanya kweli๐Kwan imekuaje wazee mbona biti la kibabe?
Usifanye hivyo mama! Kuwa binadam anayejali hisia za watu wengine bas... mm kubembeleza siwez sana! Au bas ngoja nikakojoe nilale ๐คฃUmechelewa
Oyaaa๐๐๐Leo nakupelekea moto uniite daddy...
Una point utafika mbaliiiiiAu bas ngoja nikakojoe nilale ๐คฃ
Kutongoza mkuu sunna.. sio la kushangaza! Usipotongoza utatupa wasiwasWewe kabisa unaamini mm naweza kumtongoza Depal?
Sasa hivi pesa nnayo, nna pesa za ndumbaAisee kumbe mshahara wa dc ni mrefu...
Hadi Lamomy ? Mana hapatikan.. mm nimejarib nimeshindwa na naskia pis kali kweli kweliAmetongoza jf yote...
Umetongoza jf yoote... Kuna manzi aliitwa d@rl!n i think so ulitongoza pia... Na gia zako za u dc wa Kisarawe... Niendelee na list...Wewe kabisa unaamini mm naweza kumtongoza Depal?
๐๐๐Ametongoza jf yote...
Umerahisishiwa kila kitu ushindwe wewe tu kuchukua mchuchuKumbe kuna uzi wa hivyo?
ni haya manywele yangu unaogopa? basi ntanyoaMkorofi wewe muone kwanza ๐๐
Okay, haya lete verse nakusikiliza
Kama depal anawaambia hivyo basi atakua anataka nimtongoze kweli๐Kutongoza mkuu sunna.. sio la kushangaza! Usipotongoza utatupa wasiwas
Kibaya wanakukataa...๐๐๐
Huwa sitongozi natumia uchawi
Ndio sifa ya mwanaume kutongoza ๐๐๐๐Umerahisishiwa kila kitu ushindwe wewe tu kuchukua mchuchu
Aya changamka changamkaaaNdio sifa ya mwanaume kutongoza ๐๐๐๐