Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Karibu mkuuUna point utafika mbaliiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mkuuUna point utafika mbaliiiii
😂😂😂Umetongoza jf yoote... Kuna manzi aliitwa d@rl!n i think so ulitongoza pia... Na gia zako za u dc wa Kisarawe... Niendelee na list...
Doh 🤣🤣Umetongoza jf yoote... Kuna manzi aliitwa d@rl!n i think so ulitongoza pia... Na gia zako za u dc wa Kisarawe... Niendelee na list...
Manywele yako yanahusiana vipi na kutongoza??ni haya manywele yangu unaogopa? basi ntanyoa
Asante! Ila situmiiKaribu mkuu
Kwa ndumba nilizonazo hakuna wa kukataa😂Kibaya wanakukataa...
Mkuu kaushaga tu! Pisi za humu zina wenyewe... mm nilijaribu kwa faiza foxy nikashindwa nasikia mke wa mbunge. Wewe endelea kupanda mnaziKama depal anawaambia hivyo basi atakua anataka nimtongoze kweli😂
Lakini mm namtomgoza depal nimpeleke wapi. Depal si boya tu kama maboya wengine😂😂😂
mimi napenda tu hilo base lako linanisisimua😅Manywele yako yanahusiana vipi na kutongoza??
Em shusha mistari naweza kukubali mana nimeambiwa mi mgumu sikubali watu wa JF 😂😂😂
Kwa nini haukubali sasa?😊Manywele yako yanahusiana vipi na kutongoza??
Em shusha mistari naweza kukubali mana nimeambiwa mi mgumu sikubali watu wa JF 😂😂😂
Mm ninetumiwa hadi picha yako. Roho inaniuma twenti foo seven! Nakusubiria peponi mana dunian sina hela hiyo😂😂😂 wamekudanganya mi wa kawaida, halafu sijawahi kutongozwa na wala sina husiano lolote na watu wa JF.
Pisi zipi hizo?😂Mkuu kaushaga tu! Pisi za humu zina wenyewe... mm nilijaribu kwa faiza foxy nikashindwa nasikia mke wa mbunge. Wewe endelea kupanda mnazi
Base ndio ninalo km Halima Mdee 😂😂mimi napenda tu hilo base lako linanisisimua😅
Doh! Kumbe mtoto wa mzee wa kanisa? Basi rejea mathayo 2:30-35 ephen mm nimekuelewa! Twende wote peponiAsante! Ila situmii
mtindi lita 20😅Base ndio ninalo km Halima Mdee 😂😂
Kwahiyo hapo ndio umemaliza?
😳😳 whaaatttt??!!Mm ninetumiwa hadi picha yako. Roho inaniuma twenti foo seven! Nakusubiria peponi mana dunian sina hela hiyo
wewe anakufaa sweetcandyDoh! Kumbe mtoto wa mzee wa kanisa? Basi rejea mathayo 2:30-35 ephen mm nimekuelewa! Twende wote peponi
Hakubali ndio maana anajikuta mh dc... Hana kila kitu... Angekuwa ni jamaa angeingia na gia ye ni Majaliwa...Mkuu kaushaga tu! Pisi za humu zina wenyewe... mm nilijaribu kwa faiza foxy nikashindwa nasikia mke wa mbunge. Wewe endelea kupanda mnazi
Ehhh.!! 😂😂mtindi lita 20😅
Ah wapi? Kuna mchizi mpaka anaapia kabisa kwamba hajwahi ona pis kali kama wew afrika mashariki na kati hii.. mm mpaka najisemea diamond platinum simba la masimba dangote linkwwama wapi kutia hela😳😳 whaaatttt??!!
Picha yangu umeitoa wapi?
Hivi unajua mi ni mtu nisiyejulikana.!! 😂😂😂