Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Study hard bro....
kweli chelewa chelewa utakuta mwana si wako...... Yaani kwenda kijijini siku mbili tu .....watu mjini washafanya yao.....
mwaaah kisogoni
usishangae nikifa kwa ajili yako,maana situation kama hizi zipo
Sikujua kuna walikuwa wanatuona baana... dah.
i'm in love with you
girl,sehemu ya maumivu nitachukua mimi,sehemu ya raha chukua wewe ili
usiumie maana nakujali,na ukiumia naumia mimi,.......sitaki kabisa
uumie,unapolia nataka nikufute machozi,nikubembeleze na kuhisi
unapendwa
tukajifiche,
hapa watafaidi wengi na hawajalipia
nimeshapaona
Umeona nini honey?
kabla hujatenda huwezi jua...njoo uonehadithi ya wawili tuu inanoga kweli?
nimeona ulitaka jamaa akukiss...kwa macho yangu