Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

nambie tyta wangu

36025_1245802012145_full.jpg
 
jamani na mimi natafuta wa ubani
ila awe tayari akinizingua kwa mujibu wa jina langu
namtindua ubongo staki ujinga!!salute!!
 
shem, mimi na kiwatengu tumekuwa mstari wa mbele kumshawishi Tyta ajiunge nasi...
tunataka mthibitishe uhusiano wenu, unampenda kweli? hutamtesa ndugu yetu?

jamani shem nampenda sana, yan nimekufa nimeoza! ntampa mapenzi yangu yote matamtam! ctamuumiza kamwe hubby wangu...
 
Last edited by a moderator:
jamani na mimi natafuta wa ubani
ila awe tayari akinizingua kwa mujibu wa jina langu
namtindua ubongo staki ujinga!!salute!!

afu wewe ni wa mwaka huu. nikuulize hapa ni wa muda au wakudumu?
hatutaki couple za zima moto
 
Back
Top Bottom