Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
dunia ina uhitaji uwepo wako..usife tafadhali
kama nitakukosa nina umuhimu gani kuishi duniani?mi napenda unavyosmile tukiangaliana,napenda unavyonichokoza,nasikia raha unaporembua macho,sasa bila wewe nina faida gani jamani