Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Aisee hili koti ndo lina make things happen, kama itakuwa ndo kigezo mbona nshashindwa.
hahahaa basi endelea kulivaa tu....ila joto la asili likizidi huna budi kulivua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hili koti ndo lina make things happen, kama itakuwa ndo kigezo mbona nshashindwa.
Kijana wengi wameshapitia mapito hayo, kama huyo mwanamke anakupenda ulipobaini kuwa yupo na njemba ingine asingekuwa anakulete jeuri, dharau na visa...angeendelea tu kuvunga anakupenda tu la kini si kukudharau!
Mwanamke anayekupenda,nikwambie huwa hathubutu hata siku moja kukufanyia visa, mkwara, jeuri hata kama kutokana na mazingira aliyopo anaweza kutembea na mume mwingine e.g bosi wake, work mate.....mtu anayependa huendelea kumpenda tu!
Nionacho mimi huyo kapigwa kibuti huko mpenzi wake mpya au kaona jamaa anaye wake so wewe anakuona ni last resort, na kumbuka wanawake wengi siku hizo wako desperate sana kupata wachumba wakuwaoa ili waheshimike, lakini si lazima awe anakupenda! na usipoangalia ukija kumwoa usishangae akaendelea kutembea na huyo jamaa (mtalaka hatongozwi mkuu)! So be very careful
Nadhani Karucee ndio sawa yake... @lara1 atamchuna hadi mfupa siku mbili tu...
Me 2 my beautiful earth angel mama wawili vijavyo.. ishu ileeee beib c tumeshaongea.. acha kuwapa faida majirani..
Hapo kutakuwa na utata kidogo kuna jamaa anaitwa Nyani Ngabu...
Heheeee....best mwaka umeanza vizuri huu,tuombe uishe vizuri. Full mapendo yani
We ngoja tu .......!!!!!!!!!
Hapo kutakuwa na utata kidogo kuna jamaa anaitwa Nyani Ngabu...