Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Nimekuja kiwatengu but si kwa kutongozwa. Muone kwanza, we si umeona sifa nilizotaka? halafu yeye ana macho kwanini umsemee?

mi nimempa tu taarifa, ujue kupendana raha sana..
ngoja nione mtongozano hapa huyu jamaa tokea juzi anatafuta wakumpoza..
 
Duh toka juzi na hajapata hata wa kupepesea macho?
Kupendana raha sana kiwatengu. Ukimpata mnayeendana si tofauti na wewe.
 
Nimekuja kiwatengu but si kwa kutongozwa. Muone kwanza, we si umeona sifa nilizotaka? halafu yeye ana macho kwanini umsemee?
Aaaah jamani mrembo mbona unakuwa hivyo sogea huku basi tuongee jamani ee
 
Duh toka juzi na hajapata hata wa kupepesea macho?
Kupendana raha sana kiwatengu. Ukimpata mnayeendana si tofauti na wewe.

oyaaaa we Daudi1 mrembo yuko hapa anasubiria vocals, dont delay.
Golden chance for u
 
Last edited by a moderator:
Aaaah jamani mrembo mbona unakuwa hivyo sogea huku basi tuongee jamani ee

poa endeleza mambo hapa, hadi kieleweke, niko kwa pembeni hapa watching ma utamu from u two!!!
 
Duh toka juzi na hajapata hata wa kupepesea macho?
Kupendana raha sana kiwatengu. Ukimpata mnayeendana si tofauti na wewe.
Unajua mmejificha sana jamani hatuwaoni usijali kamwe hautajutia kuwa na mimi come this way
 
Kwahiyo kiwatengu nikwite kuwadi ama. Hahahaaa una kazi wewe.
Daudi1 mimi sijui kama utaniweza, halafu sifa zako ziweke hapa.
Kiwatengu macho yamemtoka.
 
msikilize kwanza mi siyo kuwadi wala nini ila napenda sana
kuona watu wakipendana
 
Back
Top Bottom