Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,411
- 4,777
talaka itoke wapi? anacodes za kikojoleo changu haki function mpaka ridhaa yake
Heeh kwani mi nimeongea mambo ya KIKOJOLEO?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
talaka itoke wapi? anacodes za kikojoleo changu haki function mpaka ridhaa yake
Heeh kwani mi nimeongea mambo ya KIKOJOLEO?!!
hapana inabidi mchezo uanze mwanzo,
aisee inamaana kabanga na ujanja wake wote wa kwenye NBAA alishindwa kukulegeza?
Ndo ujue jinsi chini ya kitovu palivo na nguvu watu hufikiria huko tu
Kwanini nisikuweze na mimi nimekamilika,ni mwanaume kamili kila idara najiamini fugua moyo wako unipe nafasi kamwe hautajutia kuwa na mimi ati! njoo mrembo ujue nimezunguka jua limeniwakia njoo unipoze moyo wanguKwahiyo kiwatengu nikwite kuwadi ama. Hahahaaa una kazi wewe.
Daudi1 mimi sijui kama utaniweza, halafu sifa zako ziweke hapa.
Kiwatengu macho yamemtoka.
Ndo ujue jinsi chini ya kitovu palivo na nguvu watu hufikiria huko tu
Bantu lady & Daudi1 fanyeni kweli basi watu tushangweke mana nawachabo mda mrefu kweli
Hamfiki muafaka!
Hayo ndo nilikuwa siyataki.................
Hakukidhi masharti yangu nikaamua niachane nae
Kwanini nisikuweze na mimi nimekamilika,ni mwanaume kamili kila idara najiamini fugua moyo wako unipe nafasi kamwe hautajutia kuwa na mimi ati! njoo mrembo ujue nimezunguka jua limeniwakia njoo unipoze moyo wangu
Weee! acha nikomae na huyu mtoto sauti yake ilivyo tamu masikioni hapa sikubaliEbu ishia hapohapo katikat ya njia
kwani wewe umeelewa ni nini?
Hahaahahah chocs usiniambie mko safari moja na kiwatengu.
Wangu bado naona, sitaki kumtema mtu katikati so lazima akidhi vigezo vyote.
Vigezo nimekidhi mama pls moyo wangu unapata shida juu yako naomba uwe tulizo la moyo wangu mtoto masikio hayachoki kusikia sauti yako hakika mungu alifanya upendeleo juu ya uumbaji wako,nahisi mwenye bahati ya kukutana na wewe binti mrembo pls come on nataka uwe wangu tena wa maisha....Hahaahahah chocs usiniambie mko safari moja na kiwatengu.
Wangu bado naona, sitaki kumtema mtu katikati so lazima akidhi vigezo vyote.
Usiwe na haraka jamani mambo mazuri hayahitaji haraka et!Bantu lady & Daudi1 fanyeni kweli basi watu tushangweke mana nawachabo mda mrefu kweli
Hamfiki muafaka!
Umegundua mimi mdhito eeehNlikua nakupima nione uzito wako
Yetu macho..ila mie nawatakia kila la kheri