Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Ntakwambia kosa lake ngoja hasira ziishe nikusimulie vizuri

Kwa nini wakupasue kifua kwa hasira my daughter, we onesha mimi huyo mtu nipate tiketi ya kurudi lupango, ala katoto kenyewe kamoja afu wakupe stress bado mbiiichi... ntavunja mtu nyusi mie.
 
Kwa nini wakupasue kifua kwa hasira my daughter, we onesha mimi huyo mtu nipate tiketi ya kurudi lupango, ala katoto kenyewe kamoja afu wakupe stress bado mbiiichi... ntavunja mtu nyusi mie.

Hahahaaa...that's my lovly dady!! Mtu huyo ni Daudi1
 
Last edited by a moderator:
Enhee..alikutongoza pia
Hapana mkuu huyo amegeuza kibao yeye ndo amenitongoza nikamkatalia kuwa wewe ni mke wa mtu,na anaona ninavyorusha makombola kwa Bantu lady anatamani awe yeye ndo maana amenichukia saizi ananitangazia ubaya ili nimkose huyu mrembo sijui yeye anapenda niendelee kuwa single?
 
Jamani mimi nimefanyaje? unataka kuniuzia kesi baada ya kushindwa kutimiza malengo yako jamani mnyonge mnyongeni lakin haki yake mpeni duh!

Naona unaanza ku vibrate,hahaaa chezea my dady wewe!!
 
Hapana mkuu huyo amegeuza kibao yeye ndo amenitongoza nikamkatalia kuwa wewe ni mke wa mtu,na anaona ninavyorusha makombola kwa Bantu lady anatamani awe yeye ndo maana amenichukia saizi ananitangazia ubaya ili nimkose huyu mrembo sijui yeye anapenda niendelee kuwa single?

Weeeeh! Unakana saivi kwani pale chini ya mwembe ulikua unaniambiaje
 
Wewe mwenyewe umenifuata wakati namsubiri Bantu lady akitoka kisimani kuchota maji ukaanza kunichokoza

We si ulinikuta mwenyewe pale nakula zangu embe,ukaanza kunichombeza na maneno yako??
 
Unanichukia nimekufanyia nini? wewe si tayari uko occupied jamani acha na mimi nipate barafu wa moyo,nitakapo pata joato aje anipepee..... kwa maneno matamu maana sauti yake si mchezo jicho akikuangalia utafikiri anakuita akitembea kwa madido unaweza ukasahau safari zako ukawa unamfuata ana umbo la kibantu wala hatumii mkorogo rangi yake ya asili pls Bantu lady come thisi way I need you plzzzzzzz!

Nimekuja niko hapa. Si unajua majukumu tena
 
Back
Top Bottom