Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Nimekuja niko hapa. Si unajua majukumu tena
Waoh! pole na majukumu mama I was waiting you pale miembeni afadhali umekuja sauti yako tu mpaka nahisi kaubaridi kwa moyo oooh baby come on uutulize mtima wangu unao tapatapa juu yako
 
Msamehe bure inaonyesha anakosa maneno matamu kutoka kwako

wewe daudi1 kama sina maneno matamu nilimpataje huyu girl wangu?
Hivi hujui kuwa 'Valentina'. Ndiyo mdada mwenye uzuri wa pekee?
she is the most beautiful girl in this country.
 
Last edited by a moderator:
wewe daudi1 kama sina maneno matamu nilimpataje huyu girl wangu?
Hivi hujui kuwa 'Valentina'. Ndiyo mdada mwenye uzuri wa pekee?
she is the most beautiful girl in this country.
Labda ulikuwa analogy kama una maneno matamu si umesikia mwenyewe akisema alianza kulainika pale kwenye mwembe inamaana ningekuwa siriasi ungekuta manyoya tu
 
wewe daudi1 kama sina maneno matamu nilimpataje huyu girl wangu?
Hivi hujui kuwa 'Valentina'. Ndiyo mdada mwenye uzuri wa pekee?
she is the most beautiful girl in this country.

Yes, yes,yeees,hapo umemmaliza kihoro chake. Alikua hajui una mito ya chemchem ya maneno mazur ya kimahaba kwangu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom