Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Jamani sasa hapo unataka mumeo anitoe roho kwakweli............
Sio roho tu,na koromeo kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani sasa hapo unataka mumeo anitoe roho kwakweli............
Hahhahahaa naona umeamua kuniharibia kabisa ila najua huyu mtoto ni wangu kuna mchakato tunamalizia kule mikahawani hapa naona watu mnataka kuipeperushia ndege hivi hiviMpende Bantu lady
Hahhahahaa naona umeamua kuniharibia kabisa ila najua huyu mtoto ni wangu kuna mchakato tunamalizia kule mikahawani hapa naona watu mnataka kuipeperushia ndege hivi hivi
Mmmmmmhh!!!! We umejuaje kama yuko vizuri kila idara??
ahaa ngoja aje utamkubali, akimaliza hapo anakuwa proffessa...
utamtaka?
atapata semina kibao za ulaya na marekani,
na huko huwa wanaenda wawili wawili nafasi iko wazi kwako
Sasa we wako ni yupi?
Love u mo my baibe,atlist dady atatuliza mashetan sasa
Afadhali jamani dah,yaani ukipata wadada watatu kama wewe raha sana siyo kama 'valentina' yaani hapendi kuona na mimi nafurahi anataka afurahi yeye tu!
Kumbe bado hana msimamo basi hanipi shida tena ngoja nikaendelee kumbembeleza mrembo wangu yuko pale mikahawani ananisubiriMsamehe bure ndo yupo kwenye mapenzi machanga so kila anayemjia anahidi anamtaka mpe muda atakuzoea tu.
Mpende Bantu lady[/QUO
Whaaaaaat? No
Mpende Bantu lady[/QUO
Whaaaaaat? No
Tena a very big low...
We hapa unatafuta nini Tena?
Huyu kabanga mmeshamalizana?