sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,213
Najaribu kumwambia huyu Bantu lady anapendwa
Shem shansarie husiseme anapendwa tu,,mwambie anapendwa na sungura1980!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najaribu kumwambia huyu Bantu lady anapendwa
Shem shansarie husiseme anapendwa tu,,mwambie anapendwa na sungura1980!
Kumbe bado hana msimamo basi hanipi shida tena ngoja nikaendelee kumbembeleza mrembo wangu yuko pale mikahawani ananisubiri
Binti unanchecheto kutaka kuoewa mapema
We zubaa kuna shemeji yangu anaitwa sungura nae naona anajaribu kutupia mistari hapo akikuzidi shauri yako
uzi kama huu watu kama mimi yatupasa kubaki watizamaji tu
Shem shansarie husiseme anapendwa tu,,mwambie anapendwa na sungura1980!
Baby Mwallu mimi nimekuzimia jamani
Sisi ni wazima bwana yesu anatupigania tupo imara sana.
Huyu binti anabahati sana.
Ngoja tuone ataenda wapi...
Hahahahahaaaa. Nina nyota kali acha kabisa.
Mzima lakini kiwatengu aka mshenga hahahaaa
sijambo sungura1980..mzima wewe?