Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Yaani nakuahidi nitakujari mpaka utamsahau! Ukipiga chafya tu nakupeleka South Africa kutibiwa, ukikohoa tu India, ukinuna tu namleta Mr. Bean akuchekeshe.
Hahaaaa,u r so funny
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nakuahidi nitakujari mpaka utamsahau! Ukipiga chafya tu nakupeleka South Africa kutibiwa, ukikohoa tu India, ukinuna tu namleta Mr. Bean akuchekeshe.
Hahaaaa,u r so funny
Nyani Ngabu & Karucee (uknown but ipo.)
Bado,we mbona hutongozi??
you know,...like...u see
i mean yan, unajua mimi yan.....:A S 13:
Subir basi kagiza kaingie,siunajua tena wanoko ni wengi
leo unakataa! upande wa pili mbona ulishakubali?
inaweza kuanza kama uzushi vile vile..