Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzio nna allergy na kitu inaitwa mtongozo
Hawezi kuja umeshaharibu, halafu angalia ndani ya jeans unasalio kweli?
Jamani mapenzi na polisi wapi na wapi? Tangu siku nyingi nimekuzimia, nilikuwa nasubiri katiba tu iidhinishwe mke mmoja kuolelewa na wanaume wawili kama India nli nifanye mambo yangu.
Ukisia mambo ya mtongozo unasisimuka nini?kama ndio aaah leo nitakusisimua sana!
Safi sana honey kama uko na mimi ktk kuikabiri. Mitihani ya walimwengu, kesho nakupeleka show room.
only mine
u guys mnampenda sana valentina wangu eeh
Wacha weee
Bwi bwi bwi salio lipo la kutosha unataka nikupige tafu uende africa sana pale kona bar Valentina baby wangu kaniambia kachoka tutaendelea kesho hahaha!!
siyo salio la HeLa ila huna mgegedo wewe babu ameshafanya mambo kama atakuja andaa movie tu.