Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

shemeji u hali gani, hatujaonana siku nyingi kidogo.
afu nikuambie kitu.

Nampenda shansarie zaidi ya ninavyojipenda.

my wife shansarie.. i love u deeply

mi niko powa shem ila majukumu yamenibana kimtindo mpaka nakosa muda wa kuwasabahi wapendwa wangu humu japo huwa nawakumbuka sana.

Ok ni vizuri kama wampenda shosti angu plz mwambie namkumbuka sana.
 
Last edited by a moderator:
mi niko powa shem ila majukumu yamenibana kimtindo mpaka nakosa muda wa kuwasabahi wapendwa wangu humu japo huwa nawakumbuka sana.

Ok ni vizuri kama wampenda shosti angu plz mwambie namkumbuka sana.

ashasikia shem. wasalimie Botswana
 
hivi wewe umekulia wapi? mbagala ndani ndani kule chamanzi mbande kwa mtogole karibu na kwa tumbo manzese ama??

hicho kizee kinakupa mawazo?? hebu fanya fasta kabla ya saa sita bana!! alaaa!! mke wake anabeba nondo ujue!!
hahaha mkewe maugo....mie cheka! ntamzabuajee na mume nachukuaa
 
we kzee ntake radh mie!..swal gan hlo la kzush? Em kwanza bak njia kuu maana hata haiwez mikik ya michepuko!

ooouw!! charty..usiku ushaingia tena.
kama jana basi,
ombaaa
 
Back
Top Bottom