shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,367
Du imekula kwangu! Basi kesho aga unaenda kazini kisha usiende nitakuwepo home nakusubiri.
Hii tutapanga tu ngoja apone hii lovesick
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du imekula kwangu! Basi kesho aga unaenda kazini kisha usiende nitakuwepo home nakusubiri.
Hapana mkuu hali ya hewa ni baridi lazima shemeji yangu nimpe vitu vya moto.
Hii tutapanga tu ngoja apone hii lovesick
Hii tutapanga tu ngoja apone hii lovesick
lovesick ya wapi? imemwnza gafla?
bora ungemwambia kupitia njia nyingine. hata kesho anaweza kupigwa stop. hapa kiwatengu anaona pia, kesho atatoa sababu nyingine
We acha tu namjua miye; yaani hata nikienda kazini yeye akibaki home huwa anaugua. So nilitegemea hili si mara ya kwabza kutokea.
ni mapenzi ama?
Ndo manake
Kesho hana ujanja lazima aende job.
we unatokea wapi tena? sijui nikutongozee?
upo lakini:rolleyez::rolleyez::rolleyez:
Powa nnakuaminia! Ila hata akikutuma dawa tutumie mwanya huo japo ni mfupi kwetu.
Mbona unachelewa kumtongoza?
ur here my love, nilikuwa natishia nyau tu.
sijui hata kutongoza.
nilivyokupata wewe nilisahau kila kitu.