sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,213
Hivi na wewe ulipata taabu hivi kupata mke?
Mkuu Rich Pol,,nikupe usia ehee!Kumpata mwanamke ni rahisi lakini kumpata mwanamke bora sio rahisi,nilipata taabu kweli.Ila wewe tatizo lako unaonekana una tamaa,kila mwanamke unamtaka,Simba akimkimbiza swala hata huyo swala ajichanganye katika kundi la swala 1000 ,Simba ataendelea na huyo huyo swala wa kwanza tu!
Honey Faith ni mwanamke bora,na ni mrembo hasa si unasikia na jina #Honey ,mmbembeleze huyo mtoto maana ni rafiki wa mke wangu,si unajua ndege wanaofanana hukaa pamoja,sasa sijui nikuandikie mistari ya kumwambia?!Lakini hata Daudi1 anaweza kukusaidia!
Last edited by a moderator: