Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,654
- 8,564
hutaki bwana basi una roho ngumu kweli
uzi kama huu watu kama mimi yatupasa kubaki watizamaji tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uzi kama huu watu kama mimi yatupasa kubaki watizamaji tu
Na dawa ni pendo lako Honey Faith!Muonee huruma,mpatie dawa vingenevyo atatufia huyo!
Tatizo huyo Rich kachepuka sana na mie sitaki kuchepukiwa
Tatizo Rich Pol ni muongeaji sana,hayo ni maneno tu hayana ukweli wowote,hata kwenye kanga yapo!Sasa hivi katulia sana,akitembea hatua moja utasikia anaongea mwenyewe Honey Faith mpenzi!
Tatizo huyo Rich kachepuka sana na mie sitaki kuchepukiwa
Honey mbona sijachepuka? Maneno tu lakini ushahidi hakuna! Nimeturia sana kuliko hata maelezo.
Umemsikia mwenyewe sasa Honey Faith,mpokee tafadhari
uchochoro huu leo hakuna hata binti aliyekatisha nimpigie misele daaaaaah ngoja nisikilizie tena
uchochoro huu leo hakuna hata binti aliyekatisha nimpigie misele daaaaaah ngoja nisikilizie tena
ha ha h ha ha haha seee unakupenda sana..
kimya changu kinamaana kubwa sana.
afu nikikupigia sikupati kabisa
Mwangalie hapo juu jana alikuwa anasumbua kweli nikamwambia mali hii utajisumbua nilishaa kaa siku nyingi mtafute umwone ana nini kipya
aa hela nyingi ndo maana
Hujambo?mama huku ndani huonekani ulikuwa pande zipi
nilikuwa naumwa kidogo ila sasa nipo pouwa
Tatizo Rich Pol ni muongeaji sana,hayo ni maneno tu hayana ukweli wowote,hata kwenye kanga yapo!Sasa hivi katulia sana,akitembea hatua moja utasikia anaongea mwenyewe Honey Faith mpenzi!