Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Mwanaume wa maisha yangu, nakupenda sana. Unanifanya nicheke kila siku, tabasamu haliishi usoni mwangu kwaajili yako.
Wewe ni zaidi ya mwanaume kwangu, sina neno tofauti la kukwambia uelewe.
Wewe pekee ndio mkweli, mwenye mapenzi ya dhati. Naenjoy zaidi ya unavyojua, NAKUPENDA SANA.
sungura1980

Shosti umeona kitu uran alichonifanyia?
 
Last edited by a moderator:
Shemeji yangu Mokoyo, mimi mzima kabisa, na mume wangu hajambo.
Hongera sana kwa kuwa na mke mrembo kiasi hiko. Bahati nzuri tunafahamiana japo si sana ila kwasasa tutakuwa karibu zaidi.
Ichana mamii nipo hapa muda wowote ukinihitaji. Mokoyo na mume wangu Sungura1980 ni ndugu kabisa, kwahiyo siai ni wake wenza kwa mdogo na mkubwa.
Nawatakia ndoa yenye amani na upendo.
Mokoyo
Bantu lady unamaneno ya busara sana.
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume wa maisha yangu, nakupenda sana. Unanifanya nicheke kila siku, tabasamu haliishi usoni mwangu kwaajili yako.
Wewe ni zaidi ya mwanaume kwangu, sina neno tofauti la kukwambia uelewe.
Wewe pekee ndio mkweli, mwenye mapenzi ya dhati. Naenjoy zaidi ya unavyojua, NAKUPENDA SANA.
sungura1980

Nakupenda sana barafu wangu Bantu lady,najivunia kuwa na wewe malkia wangu!Zaidi najivunia busara na hekima zako asali wangu,,penzi lako ni tamu malkia wangu!Kila saa,kila dakika,kila sekunde nakuwaza malkia wangu!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mume yuko hapa pembeni, natokaje? naanzaje kuaga.

Kwani ndugu zako wote anawajua? mwambie ni Mjomba wako kwa mama mdogo tumbo mjoa na bibi mkubwa ambaye ndiyo mama wa Baba mkubwa tumbo moja na shangazi ambae ndiye mama wa mdogo wako wa mwisho.
 
Valentina shost wangu, usikasirike maisha yenyewe mafupi haya.
Uran atakuja tu na atakwambia kilichotokea.

Please naomba unywe maji ya baridi na utulie kabisa. Hili litapita tu ni upepo.
Valentina
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom