kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
- Thread starter
- #5,241
Itakula kwake....atakosa mwana na maji ya moto dadaaadek......
Mkuu kuna binti nimemwona nearby ni mzuri balaaa, anaitwa Dinazarde ukimpata lazma roho yako ifurahi, na ninaamini hata yake itafurahi pia. Ana kila kitu unachokipenda wewe, afu uzuri mmoja sasa..yuko peke yake i.e (single) akija hapa twende nae taratibu. Zile ahadi za nitakununulia sato au sangara usiziseme wakati huu.
Hapa piga vocal kavu kwanza..atalegea tu!
Niko kwa pembeni hapa watching, and supporting you...
Last edited by a moderator: