Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Hajambo...amesema sasa hivi utakuwa unaongea nae thru mama yake..
Hee mabwaku haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajambo...amesema sasa hivi utakuwa unaongea nae thru mama yake..
sijambo mamy sijui wewe?
Mie sijambo,salimia mumeo
Hee mabwaku haya
mume yangu iko bomba kabisa hamjaona?
washangaa nini we mke ya nanii dogoma yako wapi?
Sijamuona sikuhizi si nimehama ofis aise
Imesafiri
jamani mmh
ooh MUNGU kanisia kumbe umehama ofis make nilikua nawaza.
Nafanya makeke nirudi mwenzio
Nafanya makeke nirudi mwenzio
Mke huyu mdada rafiki yake Director wetu, hivo huwa najipendekeza ili niwe boss wake halafu nimfukuze kazi au nimhamishie bukobahahahaa ishatoka hiyo, kwanza nataka nimwamishie ofisn kwangu.
Hamjambo humu chumbani?
Mke huyu mdada rafiki yake Director wetu, hivo huwa najipendekeza ili niwe boss wake halafu nimfukuze kazi au nimhamishie bukoba
Hivi Director kasema utakaa siku ngapi huko?
hahahaa ishatoka hiyo, kwanza nataka nimwamishie ofisn kwangu.
Utabugi