LIVE: Tanzania Primier League (TPL)... Simba SC dhidi ya Kagera Sugar moja kwa moja kutokea uwanja wa Uhuru, Dar es salaam.

Kumbuka huyo biashara bado huna mechi naye hapa DSM. Hebu msaidie kabisa asishuke daraja ili wale wa Bweri, kyamaoje, hadi kiabakari waendelee kufaidi TPL kwa raga zao, otherwise FDL inawahusu sana, Fanya hivyo kama we mzalendo.
Waje wachukue point.. ila ubingwa kwetu ndio kipaumbele... Huko kwenu sijui malengo ni nini?
 
Siyo kupigwa mbele na nyuma hivi hivi wakati pesa unazo, huna njaa mkuu
Pesa haichezi mkuu Acha mawazo yenu eti tunanunua mechi.
Madrid wana pesa lakini msimu huu hawana kitu.
 
Daah yani acha tu mtani hawa kagera wananisononesha sana, kila siku wanatufunga tu natamani washuke daraja ili tuondokane nao. SHABAAAASH πŸ˜€πŸ˜€
Hahahaaaa. Pole sana Mtani yaani mara tatu anawaburuza tu hapo Taifa.

Nawaza Mtani hivyo bado mtakabidhiwa kombe mechi na Sevilla?
 
Hahahaaaa. Pole sana Mtani yaani mara tatu anawaburuza tu hapo Taifa.
Nawaza Mtani hivyo bado mtakabidhiwa kombe mechi na Sevilla?
Ahsante sana Mtani yani hawa jamaa wametuzoea wanatufanya sisi Babu yao, ila siku yao inakuja.
Ndio hilo linawezekana Mtani kumbuka tunahitaji point 9 kwenye michezo yetu mitatu ijayo dhidi ya Azam, Mtibwa na Ndanda.
Simba nguvu moja
Simba bingwa
 
Duuh! Mechi tatu kigongo hizo Mtani.

Haya wacha nisubirie nione mtakavyoziopoa hizo alama tisa.
 
Duuh! Mechi tatu kigongo hizo Mtani.
Haya wacha nisubirie nione mtakavyoziopoa hizo alama tisa.
Ni kweli mechi ngumu lakini naamini hatutarudia makosa.
Sawa Mtani namitakia kila la heri kwenye mechi zenu zilizobaki. πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜€πŸ˜€
 
Ni kweli mechi ngumu lakini naamini hatutarudia makosa.
Sawa Mtani namitakia kila la heri kwenye mechi zenu zilizobaki. πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜€πŸ˜€
Kisa umeona kwa asilimia kubwa sina cha kuambulia Mtani ndio wanitakia kila la kheri. Lol.

Haya bana Mtani ila naganga ya msimu mpya wa TPL sasa Mtani huu nimekuachia ujimwae mwae.
 
Kisa umeona kwa asilimia kubwa sina cha kuambulia Mtani ndio wanitakia kila la kheri. Lol.
Haya bana Mtani ila naganga ya msimu mpya wa TPL sasa Mtani huu nimekuachia ujimwae mwae.
Hahaha hamna Mtani mbona unakata tamaa mapema hivyo, kumbuka lolote linaweza kutokea, vipi kama Simba akipoteza mechi zote zilizobaki na wewe ukashinda zote (japo ni kama kumfariji mgonjwa πŸ˜›)sasa huoni Yanga wanaweza kuwa mabingwa?
Ni kweli mtani inakubidi ugange yajayo tu maana msimu huu ulihitimishwa na Kamwenee πŸ˜€πŸ˜€
 
Jana mvua imetuangusha.
Waliobaki wote wakija wanakula kichapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…