Rashid juma si mchezaji wa kuipa timu matokeo pale inapoyatafuta, anakimbia kilomita nyingi sana zisizo na madhara yoyote95' Rashid Juma anakosa tena na kusababisha kona
Inabidi yanga watucheke na kutukebehi sanaaa, Kagera haijawahi kuwapa shida wao wanajipigiaga tuBTW hatutachekana
Mmepigwa nje ndani kwanini msichekweBTW hatutachekana
Kwa kweli.kagera sasa wanataka kutufanya watani zaoInabidi yanga watucheke na kutukebehi sanaaa, Kagera haijawahi kuwapa shida wao wanajipigiaga tu
Ikimbukwe pia tuna mechi ngumu zijazo,Mtibwa na AzamInabidi yanga watucheke na kutukebehi sanaaa, Kagera haijawahi kuwapa shida wao wanajipigiaga tu
Very stupidStupid Simba,kagera wamezoea kutufunga,shame on Simba.
Tuna mziki na Singida wao wanapigania kutokushuka daraja, Azam si sana Mtibwa ni mziki mwingineIkimbukwe pia tuna mechi ngumu zijazo,Mtibwa na Azam
Najiuliza Kocha huwa anatumia vigezo gani kumuweka huyu,maana kila mtu anasema lile chocho iweje yeye pekee aone kile ni kifaamimi binafsi namuomba "MO" fukuza huyo Zana msajili hata Salum Kimenya au mrudishe Miraji Adam aliyecheza simba ya vijana. Kwanza dau lao litakuwa dogo kuliko la Zana halafu itasaidia kuongeza nafasi ya moja ya mchezaji wa kigeni. Kama kocha atang'ang'ania Zana asiondoke basi bora aondoke yeye tutafute kocha mwingine kuliko hii aibu ya kila siku. Huyo Zana ni uchochoro kuanzia champions league na mpaka ligi ya ndani wameshamjulia.
Habari njema. Miwa na sukari mmelishwa kaitaba na uhuru ( shamba la bibi99' dakika 90 zimekamilika kutoka uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam.
timu ya Kagera Sugar imeondoka na points zote tatu.
tukatane wakati mwingine.
Asalaam Aleyqum.
Hawa watoto hawaogopi sharubu zetu... ndio game , tukaze tupate ubingwaKwa kweli.kagera sasa wanataka kutufanya watani zao