LIVE: Tanzania Primier League (TPL)... Simba SC dhidi ya Kagera Sugar moja kwa moja kutokea uwanja wa Uhuru, Dar es salaam.

LIVE: Tanzania Primier League (TPL)... Simba SC dhidi ya Kagera Sugar moja kwa moja kutokea uwanja wa Uhuru, Dar es salaam.

75' Rashid Juma anakosa tena nafasi ya wazi kipa anaokoa mpira ule. mpira umekuwa na kasi na mashambulizi ya upande mmoja

76' Said Kipao kipa wa Kagera anazawadiwa kadi ya njano kwa kuchelesha mpira

Simba 0-1 Kagera Sugar
 
78' kona kwa timu ya Simba, Chama anapiga kwa mara nyingine Said Kipao anaokoa tena
 
Tanzania Premier League (Ligi kuu bara) inaendelea leo ikikutanisha Simba dhidi ya Kagera. Simba ni bingwa mteteza anataka kuendeleza ubabe wa kwa kuchukua kombe hili mara ya pili mfululizo, je atafanikiwa?? ungana na mimi hapa hapa nikikuletea updates za hapa na pale
......................................................................
zimebaki dakika kadhaa game kuanza na hivi ndiyo vikosi vitakavyoanza leo.
LINE-UPS
SIMBA SC; Aishi Manula, Zana Coulibaly, Mo Hussein, Yusuph Mlipili, Erasto Nyoni, James Kotei, Hassan Dilunga HD, Mzamiru Yassin, Meddie Kagere, Emmanuel Okwi, Mo Ibrahim.
SUBS; Deogratias Munish, Nicolas Gyan, Said Ndemla, Clatous Chama, Adam Salamba, Rashid Juma.
Mpira utaanza saa 10:00 jioni.
...........................................................................
HALF TIME: Simba Sc 0-1 Kagera Sugar
simba wmebweteka, bora yanga wamefungwa maana sijui leo ingekuwaje
 
85' Simba 0-1 Kagera Sugar
 
Dawa ya kagera sugar ni Golikipa mwingine pamoja na ulinzi na si manura na zana nitashangaa sana msimu ujao manura akiendelea kuaminiwa kama golikipa namba moja wa Simba pamoja na zana kubakia.
Ubingwa tutachukua lakini si kwa kufedheheshwa kiasi hiki na timu ileile, hii inamaanisha mbinu zao dhidi ya Simba ni bora zaidi na hatujawahi kuwafanyia kazi ipasavyo
 
Dawa ya kagera sugar ni Golikipa mwingine pamoja na ulinzi na si manura na zana nitashangaa sana msimu ujao manura akiendelea kuaminiwa kama golikipa namba moja wa Simba pamoja ma zana kubakia.

Ubingwa tutachukua lakini si kwa kufedheheshwa kiasi hiki na timu ileile, hii inamaanisha mbinu zao dhidi ya Simba ni bora zaidi na hatujawahi kuwafanyia kazi ipasavyo
Point
 
Back
Top Bottom