OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga iondolewe kwenye list ya timu kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana mkuu,endelea18' Simba wanafanya shambulio nje ya box Emmanuel Okwi anapiga shuti kali na kutoka nje (goal kick)
Simba 0-0 Kagera Sugar
Sawa mkuu25' Venance Ludovick amemkwatua beki wa Simba Zana Coulibaly na sasa anapata huduma ya kwanza
26' Venance Ludovick amepewa kadi ya njano
Simba nipigie hawa sukari40' Simba Sc 0-0 Kagera Sugar
afu tukuweke wewe na haji manara!Yanga iondolewe kwenye list ya timu kubwa
Vipi tenaKocha tunamuambia kila siku Zana sio mchezaji. Haya sasa
Geuza hayo matokeoSimba 0 -1 kagera dk 41
Kama kawaida yake kachomesha ni kama alivyofanya KageraVipi tena