OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Manula amekuwa mbovu,hayuko mchezoni,goli alilofungwa na Coastal Union na mipira iliyogonga mwamba yote hakuwa golini!Sidhani Manula Ni mbovu kiasi hicho sema Zana anapenda Sana kupanda na kusahau majukumu yake ya kawaida, anajiona winga zaidi kuliko beki